Close Menu
  • Home
  • Celebrity Gossip
  • Entertainment News
  • Featured
  • Photo News
  • Advertise with Us
  • About Us
  • Privacy Policy
Facebook X (Twitter) Instagram YouTube WhatsApp
Facebook X (Twitter) Instagram YouTube WhatsApp TikTok
BigEye.UG
Subscribe
  • HOME
  • CELEBRITY GOSSIP
  • ENTERTAINMENT
  • PHOTO NEWS
  • VIDEO NEWS
  • MONEY
    • Money
    • Features
BigEye.UG
Home»News»Mashetani Mombasani!!! Vituko Vya Paka Weusina Miguu ya Kuku Kufanya MazingaumbweKisauni Vyaleta Sintofahamu Na KuwafanyaWakaazi Kutamani Kuhama
News

Mashetani Mombasani!!! Vituko Vya Paka Weusina Miguu ya Kuku Kufanya MazingaumbweKisauni Vyaleta Sintofahamu Na KuwafanyaWakaazi Kutamani Kuhama

BigEyeUg1By BigEyeUg1April 24, 2025
Share
Facebook Twitter Telegram WhatsApp

Kumekucha kukapambazuka. Mtaa wa Toa Tugawe, uliokoKisauni Mombasa ulipigwa na butwaa baada ya paka weusiwaliokaribia watano kuanza kuitingiza nyumba ya Yusuf Baishe. Asiye na wake aelekee jiwe. Mayowe yaliokuwa yanatokakutoka humo ndani yalitufanya majirani wote kuamka na kufutamatongo bila kupiga mswaki kukimbilia nje kujioneakinachotokea. Bibi yake Yusuf aliruka nje, macho yamemtokana kuanza kulia. Kwa bahati mbaya, alikuwa ameshtuka sana, hakuweza hata kueleza alichokiona. Aliendelea tu kupiga nduruhadi hatimaye akapoteza fahamu. 

Wakabaki ndani Yusuf, watoto wake wanne na mamake mzazi. Kijana mmoja mjasiri akaamua kuvunja dirisha kuchunguliandani. Umati wa watu ulikusanyika hapo utadhani Raila Odingaameshinda kura kwa mara ya kwanza. Wengine walifuatamkondo huo na kuvunja madirisha wasiachwe nyuma. Kilaanayetazama anabaki kinywa wazi. Ikasemekana paka weusiwameonekana wakisaidiana na miguu ya kuku ndani ya nyumbaya Yusuf kuharibu vyombo vyake. Wakavunja runinga, wakamwaga maji na kufunga milango mtu asiingie. 

Muda mchache, akaitwa mzee mmoja aelezee kumekuaje pakawakateka nyara familia na tangu lini miguu ya kuku ikatembeakando na mwili. Jibu lake lilikuwa fupi; mashetani. Akaelezakisa ambacho alikishuhudia Lamu ambapo miguu ya mbuziilileta hamaki. Gumzo mtaani likawa jingi, wengi wakishangaani majini ama mashetani gani yanatoka baharini kumvamiaYusuf na kwani aliyafanyia nini?? Mzee akawaambia kuwakusipopatikana suluhu, Yusuf atapatikana maiti chini ya masaamawili. Kuna wenye walianza kufungasha virago tayari kuhama, wengine wakitafuta nafasi kujionea paka weusi kwa macho yaobinafsi. 

Ikabidi nikampigia shangazi yake Yusuf, ambaye alikuwaakiwatembelea mara kwa mara kumjuza kinachoendelea. Akachukua pikipiki na kufika hapo haraka. Akapiga simukadhaa na tukamsikia akiitisha usaidizi. Mganga na tabibumashuhuri aitwae Dr. Mugwenu akampa maelezo jinsi yakuyafurusha mashetani hayo. Tukabaki hapo midomo wazikuona paka na miguu ya kuku ikipaa juu ya mabati na kutoweka. Yusuf akapatikana ndani chumbani mwake kapiga magotiakifanya maombi yake ya mwisho. Watoto wote na mamakewalikuwa washapoteza fahamu kitambo!! Tukio hilo lilizua baa kwa muda mrefu, wengi wakitambua kuwa Dr. Mugwenukumbe ndio suluhisho la kudumu kutoa mapepo, kufukuzamashetani na kulinda nyumba na familia kutokana na tishio la nguvu za giza. Yusuf kuanzia hio siku alihakikisha kulindanyumba yake na kupitia kwa usaidizi wa Dr. Mugwenu. 

MUGWENU DOCTORS EXERCISE DOCTOR-PATIENT CONFIDENTIALITY; NEITHER PATIENT’S FILE RECORDS, IDENTITY NOR SECRETS IS SHARED TO A THIRD PARTY OR MADE PUBLIC UNLESS OTHERWISE PATIENT’S/ON THEIR OWN VOLITION WISHES TO GIVE A TESTIMONY. MUGWENU DOCTORS OFFICES ARE LOCATED IN MAJENGO TOWN VIHIGA COUNTY WESTERN KENYA.

He heals pressure, diabetes ulcers, gonorrhea, syphilis, TB, manhood weakness among other things. The doctor also solves life challenges such as love issues, family problems, hardships in business, increases your luck, which is winning lottery games and court cases, promotion at work and clears away devilish spirits and dreams. For consultations call: +254740637248https://mugwenudoctors.com Email: mugwenudoctors@gmail.com

Related

Share. Facebook Twitter WhatsApp Email
Previous Article“I Find It Really Hard To Go For More Than Two Days Without Buying a Prostitute” Kibera Man Painfully Narrates
Next Article Cheating Extravaganza; My Wife Attended A Party With Her Male Co-workers And Turned My World Upside Down. Here’s Why

Related Articles

Ssegirinya’s Widow Fatuma Nanfuka Cries Out for Help Amid Kidney Illness

Spice Diana Returns with New Music Anthem “Award”

Norbert Events Cries Foul After NRM Primary Loss: “I Was Robbed”

University Students equipped with Financial Literacy and Entrepreneurial Skills 

Zohran Mamdani Returns to Uganda to Celebrate Marriage

National Public Relations Symposium 4th edition officially launched

Latest News

Kampala Style and Fashion Brunch returns after six-month break

August 1, 2025

Sheilah Gashumba celebrates World Tequila Day with top East African influencers in Tanzania

August 1, 2025

Kagwirawo Launches 3-Month ‘EYASE’ Promotion to Reward Ugandan Bettors with Cars, Bodas & Cash

August 1, 2025

Ugandan animated series, “Kunda & Friends” in global spotlight

August 1, 2025

Levixone and Desire Luzinda launching their wedding meeting today

August 1, 2025
Follow Us
  • Facebook
  • Twitter
  • Instagram
  • YouTube
  • TikTok
  • WhatsApp
BigEye.UG
Facebook X (Twitter) Instagram YouTube WhatsApp TikTok
  • Sitemap
  • Privacy Policy
  • Contact Us
© 2025 BigEye.UG | All Rights Reserved

Type above and press Enter to search. Press Esc to cancel.