Close Menu
  • Home
  • Celebrity Gossip
  • Entertainment News
  • Featured
  • Photo News
  • Advertise with Us
  • About Us
  • Privacy Policy
Facebook X (Twitter) Instagram YouTube WhatsApp
Facebook X (Twitter) Instagram YouTube WhatsApp TikTok
BigEye.UG
Subscribe
  • HOME
  • CELEBRITY GOSSIP
  • ENTERTAINMENT
  • PHOTO NEWS
  • VIDEO NEWS
  • MONEY
    • Money
    • Features
BigEye.UG
Home»News»Mama ajuta baada ya kumtendea mumewe ukatili Mayor Road,Ongata Rongai
News

Mama ajuta baada ya kumtendea mumewe ukatili Mayor Road,Ongata Rongai

BigEyeUg1By BigEyeUg1July 30, 2024
Share
Facebook Twitter Telegram WhatsApp

Felix mwenye umri wa miaka thelathini na mmoja na Bridgit mwenye miaka ishirini na sita ni wanandoa ambao walioana miaka minne iliyopita. Wawili hao walijaaliwa kumpata mtoto mmoja wa kike kabla hawajoana rasmi. Juma lililopita, mambo yalichacha na kuchemka baada ya Felix kujitokeza waziwazi kwa kuyaweka paruwanza mambo yaliyomsibu. “Tukiwa tunachumbiana nilimpachika mimba Bridgit mimba hali iliyonilazimu kumuoa baada ya shinikizo kutoka kwa wazazi wake,”Felix alifichua. Ufichuzi huu uliwaacha wakaazi wa Mayor katika hali ya mshangao Kwa kile alichodai kuwa hakuwa na hisia za mapenzi kwa Bridgit.

Screenshot

“Sikumpenda kamwe,” Felix alisisitiza. Masaibu ya Felix yalianza tu pindi mwanawe alipofika mwaka mmoja unusu; mke huyu katili mwenye kiburi chungu nzima alianza kumdharau mume wake. Hakumtambua Felix kama mumewe, aliyaasi majukumu yake kama mkewe, kwa mfano alifeli kumpikia chakula mumewe, kumfulia nguo, kutumwa na mumewe na mengine mengi. Hata tendo la ndoa alikuwa akimnyima mumewe bila sababu za msingi. Hali hii ilizidi kuzorota zaidi na zaidi mwaka jana, baada ya Bridgit kuandamana na mwanawe mchanga hadi Felix alikokua akifanya kazi yake ya useremala na kumtundika mtoto kwenye sakafu ya jengo hilo na kuapa ya kwamba hayuko tayari kuwa mkewe Felix.

Ilimlazimu Felix kufunga kazi yake ili amshughulikie mtoto kwa sababu mtoto alikua analia pasi na kunyamaza mchana kutwa. Alirejea nyumbani Kwa manufaa ya mtoto wake, alipofika nyumbani kwake alikokua amekodi nyumba alistaajabishwa kwa kupata nguo zake zote zilikua zimekatwakatwa na kutupwa kwenye kitanda na mke wake aliyekuwa ameyafanya hayo alikua ametoweka. Felix aliduwaa na kubung’aa asijue cha kufanya. Felix alichoka na halii hii na alikuwa radhi kutengana na Bridgit ili yeye binafsi abaki kumtunza mwanawe sababu alibaini kuwa mke wake hakuwa na faida kwake na mwanawe.
Siku mbili baadae Bridgit alirejea nyumbani kwa Felix usiku na hakuweza kuomba radhi kwa yale alokua ametenda dhidi ya mumewe. Felix hakuwa tayari kwa mazungumzo ya aina yoyote baina yake na Bridgit maana alikuwa amekwisha kata kauli ya kumpa talaka Bridgit. Wakiwa mumo humo kwenye nyumba Bridgit alichemsha mafuta ya kupika ili amuangamize Felix kwa kumwagia usoni, ghafla baada Felix kung’amua hilo alimshika na kumnyan’anya mafuta hayo. Baadae akachukua kisu ili amdunge Felix, hapo ilimlazimu Felix kutoka nje mbio usiku huo akiwa amevalia bukta tu asijue ni wapi pa kuenda. Kwa masitikiko Felix alinipigia simu kunieleza hakuwa na mahali pa kulala. Nilimuita kwangu usiku huo ili aje alale kwangu, alipowasili alinieleza yalomfika.

Kwa makini nilimsikiza, machozi yakimdondoka Felix kwa kunisimulia maovu aliyopitia mikononi mwa mke wake katili. Alieleza kuwa alijaribu kumtaliki lakini wapi, hapo ndipo nilimsihi atafute usaidizi kwa Dr.Mugwenu ili kufanikisha matakwa yake kwa kumpa nambari ya simu.
Aliwasiliana na daktari huyo na akamsihi amtembelee kwake nyumbani. Felix alifunga safari hadi Vihiga nyumbani kwa Dr.Mugwenu, alipofika alimueleza daktari masaibu yake. Kwa mujibu wa Dr.Mugwenu, ilibainika wazi ya kwamba mkewe Felix alikuwa amemfunga Felix na kwa njia yeyote ile hawangeweza kutengana na Bridgit. Na kwa kutumia dawa zake za kiasili aliweza kumfungua Felix na kumfanya kutengana na mke wake. Felix alitakiwa kulipa ada kiasi kwa huduma za Mganga huyo mahiri. Felix alianza maisha Kwa kuhama mtaa huo na kukaa peke yake na kumsahau aliyekuwa mke wake.Kutoka wakati huo Felix alitengana na Bridgit, na baada ya miezi mitatu baadaye Felix alikuwa tayari keshapata mwanadada mrembo tayari kufunga naye pingu za maisha.

MUGWENU DOCTORS EXERCISE DOCTOR-PATIENT CONFIDENTIALITY; NEITHER PATIENT’S FILE RECORDS, IDENTITY NOR SECRETS IS SHARED TO A THIRD PARTY OR MADE PUBLIC UNLESS OTHERWISE PATIENT’S/ON THEIR OWN VOLITION WISHES TO GIVE A TESTIMONY. MUGWENU DOCTORS OFFICES ARE LOCATED IN MAJENGO TOWN VIHIGA COUNTY WESTERN KENYA.

He heals pressure, diabetes ulcers, gonorrhea, syphilis, TB, manhood weakness among other things. The doctor also solves life challenges such as love issues, family problems, hardships in business, increases your luck, which is winning lottery games and court cases, promotion at work and clears away devilish spirits and dreams. For consultations call: +254740637248 https://mugwenudoctors.com Email: mugwenudoctors@gmail.com

Related

Share. Facebook Twitter WhatsApp Email
Previous Article“My step mother is the one who bewitched me,” Details emerge as a man reveals the source of his suffering in Kakamega
Next Article Single mother who built Four houses at the age of 30 says the society accused her of being Freemason, she narrates the source of her achievement

Related Articles

Mary Karooro Okurut Dies from Injuries Sustained in Road Accident

Mt. Rwenzori Marathon receives a UGX 800M boost

Gabzy Announces Full Scholarships for Two Exceptional Underprivileged Girls at International University of East Africa (IUEA)

Homes Expo 2025  officially launched

Ssegirinya’s Widow Fatuma Nanfuka Cries Out for Help Amid Kidney Illness

Spice Diana Returns with New Music Anthem “Award”

Latest News

Frank Gashumba Endorses Museveni for President – 2026

August 14, 2025

Johnnie Walker adds Bold Flavor to the Katogo Golf Series 19th hole experience

August 14, 2025

2025 Tupange Business ne Equity Nation Wide Forums Launched With A Pledge For Stronger SME Support 

August 14, 2025

Grace Nakimera Praises Juliana Kanyomozi and Iryn Namubiru for Musical Excellence

August 14, 2025

Da Agent Claims He Introduced Crysto Panda to Music

August 14, 2025
Follow Us
  • Facebook
  • Twitter
  • Instagram
  • YouTube
  • TikTok
  • WhatsApp
BigEye.UG
Facebook X (Twitter) Instagram YouTube WhatsApp TikTok
  • Sitemap
  • Privacy Policy
  • Contact Us
© 2025 BigEye.UG | All Rights Reserved

Type above and press Enter to search. Press Esc to cancel.